Isa. 10:12 SUV

12 Basi, itakuwa, Bwana atakapokuwa ameitimiza kazi yake yote juu ya mlima Sayuni na juu ya Yerusalemu, nitayaadhibu matunda ya kiburi cha moyo wake mfalme wa Ashuru, na majivuno ya macho yake.

Kusoma sura kamili Isa. 10

Mtazamo Isa. 10:12 katika mazingira