Isa. 10:15 SUV

15 Je! Shoka lijisifu juu yake alitumiaye? Je! Msumeno ujitukuze juu yake auvutaye? Ingekuwa kana kwamba bakora ingewatikisa waiinuao, au fimbo ingemwinua yeye ambaye si mti.

Kusoma sura kamili Isa. 10

Mtazamo Isa. 10:15 katika mazingira