Isa. 11:10 SUV

10 Na itakuwa katika siku hiyo, shina la Yese lisimamalo kuwa ishara kwa kabila za watu, yeye ndiye ambaye mataifa watamtafuta; na mahali pake pa kupumzikia patakuwa na utukufu.

Kusoma sura kamili Isa. 11

Mtazamo Isa. 11:10 katika mazingira