Isa. 11:6 SUV

6 Mbwa-mwitu atakaa pamoja na mwana-kondoo, na chui atalala pamoja na mwana-mbuzi; ndama na mwana-simba na kinono watakuwa pamoja, na mtoto mdogo atawaongoza.

Kusoma sura kamili Isa. 11

Mtazamo Isa. 11:6 katika mazingira