Isa. 12:4 SUV

4 Na katika siku hiyo mtasema,Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake;Yatangazeni matendo yake kati ya mataifa,Litajeni jina lake kuwa limetukuka.

Kusoma sura kamili Isa. 12

Mtazamo Isa. 12:4 katika mazingira