Isa. 13:20 SUV

20 Hautakaliwa na watu tena kabisa, wala watu hawatakaa ndani yake tangu kizazi hata kizazi. Mwarabu hatapiga hema yake huko, wala wachungaji hawatalaza makundi yao huko.

Kusoma sura kamili Isa. 13

Mtazamo Isa. 13:20 katika mazingira