Isa. 14:13 SUV

13 Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni,Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu;Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano,Katika pande za mwisho za kaskazini.

Kusoma sura kamili Isa. 14

Mtazamo Isa. 14:13 katika mazingira