Isa. 14:19 SUV

19 Bali wewe umetupwa mbali na kaburi lako,Kama chipukizi lililochukiza kabisa;Kama vazi la wale waliouawa,Wale waliochomwa kwa upanga,Wale washukao mpaka misingi ya shimo;Kama mzoga uliokanyagwa chini ya miguu.

Kusoma sura kamili Isa. 14

Mtazamo Isa. 14:19 katika mazingira