Isa. 14:23 SUV

23 Tena nitaifanya hiyo nchi kuwa makao ya nungu, na maziwa ya maji; nami nitaifagilia mbali kwa ufagio wa uharibifu; asema BWANA wa majeshi.

Kusoma sura kamili Isa. 14

Mtazamo Isa. 14:23 katika mazingira