Isa. 14:25 SUV

25 kwamba nitamvunja huyo Mwashuri vipande vipande katika nchi yangu, na juu ya mlima wangu nitamkanyaga chini ya miguu yangu; ndipo nira yake iliyo juu yao itakapoondoka, na mzigo wake utatoka mabegani mwao.

Kusoma sura kamili Isa. 14

Mtazamo Isa. 14:25 katika mazingira