Isa. 14:9 SUV

9 Kuzimu chini kumetaharuki kwa ajili yako,Ili kukulaki utakapokuja;Huwaamsha waliokufa kwa ajili yako,Naam, walio wakuu wote wa dunia;Huwainua wafalme wote wa mataifa,Watoke katika viti vyao vya enzi.

Kusoma sura kamili Isa. 14

Mtazamo Isa. 14:9 katika mazingira