Isa. 15:2 SUV

2 Wanapanda juu hata Bayithi na Diboni, mpaka mahali palipo juu ili walie; juu ya Nebo na juu ya Medeba Wamoabi wanalia; Wana upaa juu ya vichwa vyao vyote; kila ndevu zimenyolewa.

Kusoma sura kamili Isa. 15

Mtazamo Isa. 15:2 katika mazingira