Isa. 16:10 SUV

10 Na furaha imeondolewa, na shangwe toka mashamba yaliyozaa sana; hapana kuimba katika mashamba ya mizabibu, wala sauti za furaha; akanyagaye hakanyagi divai katika mashinikizo; nimeikomesha sauti ya furaha yake akanyagaye.

Kusoma sura kamili Isa. 16

Mtazamo Isa. 16:10 katika mazingira