Isa. 16:8 SUV

8 Maana makonde ya Heshboni yamenyauka, na mzabibu wa Sibma; mabwana wa mataifa wameyavunja matawi yake mateule; yamefika hata Yazeri, yalitanga-tanga hata nyikani; matawi yake yalitapakaa, yaliivuka bahari.

Kusoma sura kamili Isa. 16

Mtazamo Isa. 16:8 katika mazingira