Isa. 17:13 SUV

13 Mataifa wananguruma kama ngurumo ya maji mengi;Lakini atawakemea, nao watakimbia mbali sana,Watafukuzwa kama makapi milimani mbele ya upepo,Na kama mavumbi vuruvuru mbele ya tufani.

Kusoma sura kamili Isa. 17

Mtazamo Isa. 17:13 katika mazingira