Isa. 17:3 SUV

3 Na ngome ya Efraimu itakomeshwa, na ufalme wa Dameski, na mabaki ya Shamu; watakuwa kama utukufu wa wana wa Israeli, asema BWANA wa majeshi.

Kusoma sura kamili Isa. 17

Mtazamo Isa. 17:3 katika mazingira