Isa. 19:20 SUV

20 Nayo itakuwa ishara na ushuhuda kwa BWANA wa majeshi katika nchi ya Misri; kwa maana watamlilia BWANA kwa sababu ya watu wawaoneao, naye atawapelekea mwokozi mwenye kuwatetea, naye atawaokoa.

Kusoma sura kamili Isa. 19

Mtazamo Isa. 19:20 katika mazingira