Isa. 19:23 SUV

23 Katika siku hiyo itakuwako njia kuu itokayo Misri na kufika hata Ashuru; Mwashuri atafika Misri, na Mmisri atafika Ashuru, na Wamisri wataabudu pamoja na Waashuri.

Kusoma sura kamili Isa. 19

Mtazamo Isa. 19:23 katika mazingira