Isa. 19:4 SUV

4 Nami nitawatoa hao Wamisri na kuwatia katika mikono ya bwana mgumu; na mfalme mkali atawatawala; asema Bwana, BWANA wa majeshi.

Kusoma sura kamili Isa. 19

Mtazamo Isa. 19:4 katika mazingira