Isa. 19:8 SUV

8 Na wavuvi wataugua, na wote wavuao kwa ndoana watahuzunika, nao watandao jarife juu ya maji watazimia.

Kusoma sura kamili Isa. 19

Mtazamo Isa. 19:8 katika mazingira