Isa. 2:19 SUV

19 Na watu wataingia ndani ya pango za majabali, na ndani ya mashimo ya nchi, mbele za utisho wa BWANA na utukufu wa enzi yake, atakapoondoka ili aitetemeshe mno dunia.

Kusoma sura kamili Isa. 2

Mtazamo Isa. 2:19 katika mazingira