Isa. 2:21 SUV

21 ili aingie ndani ya pango za majabali, na ndani ya tundu za miamba iliyopasuka, mbele za utisho wa BWANA na utukufu wa enzi yake, atakapoondoka ili aitetemeshe mno dunia.

Kusoma sura kamili Isa. 2

Mtazamo Isa. 2:21 katika mazingira