Isa. 21:9 SUV

9 Na, tazama, linakuja kundi la watu, wapanda farasi, wakienda wawili wawili. Akajibu na kusema, Babeli umeanguka, umeanguka; na sanamu zote za miungu yake zimevunjwa chini.

Kusoma sura kamili Isa. 21

Mtazamo Isa. 21:9 katika mazingira