Isa. 22:25 SUV

25 Katika siku ile, asema BWANA wa majeshi, ule msumari uliokazwa katika mahali palipo imara utalegea; nao utakatwa na kuanguka chini, na ule mzigo uliokuwa juu yake utakatiliwa mbali; maana BWANA amesema haya.

Kusoma sura kamili Isa. 22

Mtazamo Isa. 22:25 katika mazingira