Isa. 23:13 SUV

13 Tazama, nchi ya Wakaldayo; watu hao hawako tena; Mwashuri ameiweka tayari kwa hayawani wa jangwani; wamesimamisha buruji zao za vita, wameyaharibu majumba yake ya enzi, akaufanya kuwa uharibifu.

Kusoma sura kamili Isa. 23

Mtazamo Isa. 23:13 katika mazingira