Isa. 23:17 SUV

17 Hata itakuwa mwisho wa miaka sabini, BWANA ataizuru nchi ya Tiro, naye atarudi apate ujira wake, atafanya ukahaba pamoja na falme zote za ulimwengu juu ya uso wa dunia.

Kusoma sura kamili Isa. 23

Mtazamo Isa. 23:17 katika mazingira