Isa. 23:9 SUV

9 BWANA wa majeshi ndiye aliyefanya shauri hili, ili kuharibu kiburi cha utukufu wote, na kuwaaibisha watu wa duniani wote pia.

Kusoma sura kamili Isa. 23

Mtazamo Isa. 23:9 katika mazingira