Isa. 24:11 SUV

11 Pana kilio katika njia kuu kwa sababu ya divai; furaha yote imetiwa giza, na changamko la nchi limetoweka.

Kusoma sura kamili Isa. 24

Mtazamo Isa. 24:11 katika mazingira