21 Tena itakuwa katika siku hiyo, BWANA ataliadhibu jeshi la mahali palipo juu katika mahali palipo juu, na wafalme wa dunia katika dunia;
Kusoma sura kamili Isa. 24
Mtazamo Isa. 24:21 katika mazingira