Isa. 24:6 SUV

6 Ndiyo sababu laana imeila dunia hii, na hao wanaoikaa wameonekana kuwa na hatia, ndiyo sababu watu wanaoikaa dunia wameteketea, watu waliosalia wakawa wachache tu.

Kusoma sura kamili Isa. 24

Mtazamo Isa. 24:6 katika mazingira