Isa. 25:1 SUV

1 Ee BWANA, wewe u Mungu wangu;Nitakutukuza na kulihimidi jina lako;Kwa kuwa umetenda mambo ya ajabu,Mashauri ya kale, kwa uaminifu na kweli.

Kusoma sura kamili Isa. 25

Mtazamo Isa. 25:1 katika mazingira