Isa. 26:12 SUV

12 BWANA, utatuamuria amani; maana ni wewe pia uliyetutendea kazi zetu zote.

Kusoma sura kamili Isa. 26

Mtazamo Isa. 26:12 katika mazingira