Isa. 26:14 SUV

14 Wao wamekufa, hawataishi; wamekwisha kufariki, hawatafufuka; kwa sababu hiyo umewajilia, na kuwaangamiza, na kuupoteza ukumbusho wao.

Kusoma sura kamili Isa. 26

Mtazamo Isa. 26:14 katika mazingira