Isa. 26:17 SUV

17 Kama vile mwanamke mwenye mimba anayekaribia wakati wake wa kuzaa, alivyo na utungu na kulia kwa sababu ya maumivu yake, ndivyo tulivyokuwa sisi mbele zako, Ee BWANA.

Kusoma sura kamili Isa. 26

Mtazamo Isa. 26:17 katika mazingira