Isa. 27:11 SUV

11 Matawi yake yatakapokauka yatavunjwa; wanawake watakuja na kuyachoma moto; kwa maana hawa si watu wenye akili; kwa sababu hiyo yeye aliyewaumba hatawahurumia, yeye aliyewafanya hatawasamehe.

Kusoma sura kamili Isa. 27

Mtazamo Isa. 27:11 katika mazingira