Isa. 28:18 SUV

18 Na agano lenu mliloagana na mauti litabatilika, tena mapatano yenu mliyopatana na kuzimu hayatasimama; pigo lifurikalo litakapopita, ndipo ninyi mtakapokanyagwa nalo.

Kusoma sura kamili Isa. 28

Mtazamo Isa. 28:18 katika mazingira