Isa. 28:25 SUV

25 Akiisha kuulainisha uso wa nchi yake, je! Hamwagi huko na huko kunde, na kutupa-tupa jira, na kuitia ngano safu safu, na shayiri mahali pake palipochaguliwa, na kusemethi karibu na mipaka yake?

Kusoma sura kamili Isa. 28

Mtazamo Isa. 28:25 katika mazingira