Isa. 28:27 SUV

27 Kwa maana kunde zile hazipurwi kwa chombo kikali, wala gurudumu la gari halipitishwi huko na huko juu ya jira ile, bali kunde zile hupurwa kwa fimbo, na jira ile kwa ufito.

Kusoma sura kamili Isa. 28

Mtazamo Isa. 28:27 katika mazingira