Isa. 29:1 SUV

1 Ole wa Arieli, Arieli, mji ambao Daudi alifanya kituo chake ndani yake; ongezeni mwaka baada ya mwaka; sikukuu na zirudi wakati wake,

Kusoma sura kamili Isa. 29

Mtazamo Isa. 29:1 katika mazingira