Isa. 29:4 SUV

4 Nawe utashushwa, nawe utanena toka chini ya nchi, na maneno yako yatakuwa chini toka mavumbini; na sauti yako itakuwa kama sauti ya mtu mwenye pepo, ikitoka katika nchi, na matamko yako yatanong’ona toka mavumbini.

Kusoma sura kamili Isa. 29

Mtazamo Isa. 29:4 katika mazingira