Isa. 29:6 SUV

6 Naye atajiliwa na BWANA wa majeshi kwa ngurumo, na tetemeko la nchi, na sauti kuu, na chamchela, na tufani, na mwali wa moto uteketezao.

Kusoma sura kamili Isa. 29

Mtazamo Isa. 29:6 katika mazingira