Isa. 29:9 SUV

9 Ngojeni mstaajabu; fanyeni anasa zenu na kuwa vipofu; wamelewa wala si kwa mvinyo; wamewaya-waya wala si kwa sababu ya kileo.

Kusoma sura kamili Isa. 29

Mtazamo Isa. 29:9 katika mazingira