Isa. 3:12 SUV

12 Katika habari za watu wangu, watoto ndio wanaowaonea, na wanawake ndio wanaowatawala. Enyi watu wangu, wakuongozao wakukosesha, waiharibu njia ya mapito yako.

Kusoma sura kamili Isa. 3

Mtazamo Isa. 3:12 katika mazingira