Isa. 3:8 SUV

8 Kwa maana Yerusalemu umebomolewa na Yuda wameanguka, kwa sababu ulimi wao na matendo yao ni kinyume cha BWANA, hata wayachukize macho ya utukufu wake.

Kusoma sura kamili Isa. 3

Mtazamo Isa. 3:8 katika mazingira