Isa. 30:12 SUV

12 Basi kwa ajili ya hayo Mtakatifu wa Israeli asema hivi, Kwa sababu mwalidharau neno hili, na kutumainia jeuri na ukaidi, na kuyategemea hayo;

Kusoma sura kamili Isa. 30

Mtazamo Isa. 30:12 katika mazingira