Isa. 30:14 SUV

14 Naye atapavunja kama chombo cha mfinyanzi kivunjwavyo, akikivunja-vunja asiache kukivunja, hata hakipatikani katika vipande vyake kigae kitoshacho kutwaa moto jikoni, au kuteka maji kisimani.

Kusoma sura kamili Isa. 30

Mtazamo Isa. 30:14 katika mazingira