Isa. 30:29 SUV

29 Mtakuwa na wimbo kama vile wakati wa usiku, ishikwapo sikukuu takatifu, mtakuwa na furaha ya moyo kama vile mtu aendapo na filimbi katika mlima wa BWANA, aliye Mwamba wa Israeli.

Kusoma sura kamili Isa. 30

Mtazamo Isa. 30:29 katika mazingira