Isa. 30:6 SUV

6 Ufunuo juu ya hayawani wa Negebu.Katikati ya nchi ya taabu na dhiki,Ambayo hutoka huko simba jike na simba,Nyoka na joka la moto arukaye,Huchukua mali zao mabegani mwa punda wachanga,Na hazina zao juu ya nundu za ngamiaWaende kwa watu ambao hawatawafaa kitu.

Kusoma sura kamili Isa. 30

Mtazamo Isa. 30:6 katika mazingira