Isa. 31:8 SUV

8 Ndipo huyo Mwashuri ataanguka kwa upanga ambao si wa mtu; na upanga usio upanga wa mtu utamla; naye ataukimbia upanga, na vijana wake watatoa kodi.

Kusoma sura kamili Isa. 31

Mtazamo Isa. 31:8 katika mazingira