Isa. 32:11 SUV

11 Tetemekeni, enyi wanawake wenye raha; taabikeni, enyi msiokuwa na uangalifu; jivueni, jivueni nguo zenu kabisa, jivikeni viuno nguo za magunia.

Kusoma sura kamili Isa. 32

Mtazamo Isa. 32:11 katika mazingira